

MWALIMU SWAI(a.k.a MASTER CLASS) ENZI YA GOGO HOTEL ILIKUWA NI MAZOEZI YA HIGH IMPACT AEROBICS ENZI HIZO YAAKINA David Mrema, Kissy,Lukumai,Rehema,
Vivian,Shami,Mtagwa Fundikira,Maria,Nara na wengineo wengi.Ikiwa imepita miaka kumi.
SWALI: JE HAWA WADAU WANAFANYA MAZOEZI YA AEROBICS?
JIBU: Ni wachache sana kwa mujibu wa utafiti wangu.

No comments:
Post a Comment