Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Tuesday, October 6, 2015

AINA ZA MAZOEZI YA TUMBO AMBAYO UNAWEZA KUFANYA UKIWA SEHEMU YOYOTE


Mara nyingi mwanamazoezi hufikiria mazoezi sharti ufanyie kwenye sehemu maalum ya mazoezi, la hasha mazoezi waweza fanyia hata ukiwa nyumbani, na  pia uwe unafanya kila siku na marudio mengi yasiyopungua mia sita kwa hesabu ya ishirini.

Yafuatayo ni baadhi ya mazoezi ya tumbo.


                               Namna ya kuanza zoezi la tumbo na kumalizia hapo juu


             Hapa unaaza mikono ikiwa nyuma ya kichwa ukinyanyuka unagusa
             magoti na kurudia hivyo mara kumi.


Zoezi hili ukiwa unaanza nakumaliza kama picha zinavyoonyeshanakaa mkao
 kama unapiga push up lakini unakunja mikono mmoja baada ya mwingine.

Hapa unakunja  mikono yako yote na unanyanyuka sehemu ya katina kukaa hivyo kwa muda wa sekunde 30 na urudie tena.