Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Friday, May 7, 2010

MAZOEZI YA KUONDOA TUMBO KWA KUTUMIA BODI

Mkurugenzi wa BIGY RESPECT akifanya mazoezi ya tumbo na mwalimu Swai akimsimamia picha hapo juu.

MAZOEZI YA TUMBO

Kwa kusema kweli kila kitu inabidi mtu ujitahidi,maana mazoezi ya tumbo unatakiwa ufanye mengi ya kutosha kama kuhesabu ifike angalau mara 300 hapo utakuwa umeafanya kidogo.

Maana msuli wa tumbo huchukua muda kujengeka na kuondoa mafuta, hivyo kihaswa unatakuwa uende kama hesabu ya 600.

Wakati una matatizo ya kuwa na tumbo kubwa unatakiwa kufanya mazoezi haya ya tumbo kila siku, kuizingatia kupunguza vitu vya mafuta.

Kumbuka ukizingatia haya utafanikiwa.Pia usisiste kuniuliza maswali kupitia tofuti hii.

No comments: