Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Saturday, May 8, 2010

MWALIMU SWAI AKIWA NA DARASA LA MAZOEZI YA STEP AEROBICS UDSM




PICHA ZINAONYESHA MAZOEZI KABAMBE YA STEP AEROBICS CHUO KIKUU MLIMANI NA MWALIMU SWAI
Mara nyingi ukuiwa unaanza mazoezi haya utasema ni mazingaumbwe, kwa sababu utakuwa huelewi wanafanya vipi lakini ukelewa kufanya, huwa unachanganyikiwa muda wa mazoezi ukufika hujahudhuria darasa la mwalimu Swai. Ni mazoezi yanayopunguza mafuta kwenye mwili na uzito kwa haraka sana. Pia unakuwa mchangamufu siku zote za maisha yako.

No comments: