Wadau wa mazoezi yaviungo wakiwa katika mazoezi ya Tae Bo mazoezi ambayo yametokea kupendwa sana na yenye matokeo ya haraka katika mwili. Mazoezi ya Tae Bo hukufanya uwe na nguvu na pumzi ya kutosha hata katika kukabiliana tatizo la aina yoyote ile.
WADAU WA MAZOEZI WAKIWA KWENYE
DARASA LA TAE BO LIKIONGOZWA NA
MWALIMU OMAR SWAI UDSM


No comments:
Post a Comment