SIKU YA BONANZA CHUO KIKUU CHA DAR ESALAAM MLIMANI NA MIAKA HAMSINI
Katika kusherehekea miaka hamsini ya tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha Dar es salaamMlimani enzi hizo mpaka hadi leo kulikuwa na sherehe mbali mbali za kushiriki kwenye michezo.
Hapa akinamama wakijitayarisha kukimbia mita mia moja siku ya bonanza jumamosi
kwenye viwanja vya chuo kikuu.
Mbio zilianza hivyo kama inavyookana hapo juu kwa akina mama.
Akina baba nao walikuwemo katika mashindanohayo ya mita mia moja.
No comments:
Post a Comment