KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA HAMSINI YA CHUO KIKUU NA BONANZA LA MAZOEZI YA AEROBICS.
KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA MIAKA HAMSINI YA CHUO KIKUU CHA MLIMANI WANAMICHEZO WOTE WALISHIRIKI KATIKA KUPASHA MISULI KWA MAZOEZI YA AEROBICS YA KIONGOZWA NA MWALIMU OMAR SWAI.
Washiriki wa bonanza wakianza na mazoezi ya aerobics.
Ilikuwa ni mambo ya cooldown hapa baada ya aerobics.
Mazoezi ya kunyoosha misuli kwa matayarisho ya wanamichezo wa bonanza hilo lililofanyika katika viwanja vya Chuo kikuu Mlimani.
No comments:
Post a Comment