NAMNA YA KUFANYA MAZOEZI YA KUJENGA KIFUA KWA KUTUMIA BENCHI PRESS.
Mara nyingi watu ambao hufanya mazoezi, huwa wanatamani kuwa na kifua kilichojengeka na hii ikiwa ni kwa ajili ya kuwa na muonekano mzuri na pindi uvaapo nguo huonekana nadhifu.
Mazoezi ya kujenga kifua wadau wakiwa wanasimamiana picha ikionyesha namna ya kuanza zoezi hilo.
Hapa zoezi la kujenga kifua namna ya kumaliza ikiwa wamebeba uzito ambao unaumudu.
No comments:
Post a Comment