Katika picha inaonyesha washiriki wa michezo wakifanya mazoezi ya Aerobics yakiongozwa na mwalimu Omar Swai kutoka udsm.
Mkuu wa chuo hicho akiwa na wakuu wengine na wafanyakazi pamoja na wanafunzi walishiriki mazoezi ya aerobics yaliyofana sana siku hiyo ya Bonanza
Katika picha mwalimu Swai akiwa na mkuu wa chuo cha Open University VC Tolly wabadilishana mawazo na kupongezana huku washiriki wakipata vinywaji baridi kwa kweli Bonanza hiyo ilifana sana
No comments:
Post a Comment