Pamoja na kuwa na gym ya mazoezi hapo chuoni pia hutembelea gym nyingine na kuona zinavyoendeshwa kwa maandalizi ya wao kuajiriwa wamalizapo mafunzo ya gym na aerobics

Katika picha ya pamoja Mwalimu Swai akiwa na wanafunzi wa chuo walipotembelea Genessis gym.Katika picha za chini zinaonyesha Mwalimu Sas akitoa maelelozo kwa wanafunzi wa chuo kikuu mlimani PESS baadhi ya mashine na matumizi yake hapo katika gym ya Genessis

No comments:
Post a Comment