Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Monday, February 16, 2015

UMUHIMU WA KUFANYA MAZOEZI ILI KUEPUKA MARADHI YA KISUKARI


Mara nyingi sisi binaadamu hatufanyi kitu bali kwa manufaa fulani tena pale unapozidiwa na kushuriwa na daktari ndipo tunazinduka.
Mazoezi ni jambo la muhimu sana kwa binaadamu yeyote yule kufanya ili kuepukana na maradhi ambayo yanasumbua binaadamu.
Leo nizungumzie maradhi ya kisukari kwa ufupi ni namna gani yanakupata na jinsi ya kuepuka.
Kuna umuhimu wa kila mtu kufanya mazoezi yasiyopungua muda wa dakika 30 hadi saa moja kila siku katika maisha  yake ili kuepuka maradhi haya ya kisukari, hii inasaidia mwili wote ikiwa pamoja na misuli kufanya mazoezi  na kutokwa na jasho ambayo husaidia hutumia kiasi cha sukari kinachozalishwa mwilini.Hii ni kwa sababu mwili wa binadamu huzalisha sukari kila siku na inatakiwa ile sukari itumike ipasavyo bila kuwa na kusanyiko mwingi wa sukari mwilini.



                                         Mzoezi ya rowwing namna unavyoanza

                                Mazoezi ya rowwinng unapomalizia hufanya kwa dk 25 tu.

No comments: