Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Friday, January 4, 2013

WAFANYAKAZI WA VETA WAITIKIA WITO WA KUFANYA MAZOEZI KWA AFYA ZAO.



Kwa kaweli ni jambo la kutia moyo kwa wafanyakazi wa VETA kuanzisha club yao ya mazoezi

japo mara moja kwa wiki  ambapo hukutana na kufanya joging  wakimalizia na mazoezi ya viungo.

Mwaka  huu wa 2013 wamepania zaidi kufanya mazoezi kwa ajili ya afya zao bili kujali nyadhifa zao.








                             Hapa ni  pamoja na mkuu  wa chuo  hicho akiwa mastari wa mbele.






                             Wafanyakazi  wa veta wakiwa  wanafurahia mazoezi  hapo chuoni

                   










No comments: