WANA MAZOEZI WA CHUO KIKUU MLIMANI WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA STEP.
Katika picha hizo mbili zinaonyesha jinsi wadau wa mazoezi wakifurahia kufanya mazoezi ya step aerobics.
Mazoezi haya pia hupendelewa kufanywa na waadhiri wa hapo chuoni, mdau mkubwa ni dakta Qorro ambae anaonekana hapo mbele.
No comments:
Post a Comment