Tuesday, November 20, 2012
WAFANYA KAZI WA VETA(DSMRVTSC) WAFUNGUA CLUB YA MAZOEZI HAPO VETA KWA WAFANYAKAZI WOTE.
Katika mazungumzo na wakuu wa hapo DSMRVTSC VETA walisema wameamua kuanzisha club yao ya mazoezi hii ni kutokana na kutokuwa na muda wa kufanya mazoezi siku za wiki na kuamua kufanya mazoezi angalau siku ya Jumamosi na jumapili hapo baadae.Kwa sasa wanafanya mazoezi kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa moja.
Wanamazoezi wa Veta wakifanya mazoezi ya viungo kwenye gym yao wakiwa na mwalimu O.Swai
Hapa ni mkuu wa chuo hicho Samwel Ng'andu akiongoza wafanyakazi wenzake katika zoezi kila asubuhi ya Jumamosi alifungua rasmi.
Mazoezi yakiwa yamepamba moto katika club hiyo Veta
Mwalimu Swai akirekebisha wana mazoezi na kuwapa moyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment