Wednesday, November 7, 2012
MAZOEZI YA KUJENGA SEHEMU YA MSULI WA NYUMA WA MKONO(TRICEPS)
Ukiwa unafanya mazoezi ya triceps kwa kutumia cable mashine mara nyingi huwa ni mazoezi ambayo yana matokeo mazuri na uhakika.
Mazoezi haya unafanya kwa marudio ya seti 4 x 12 na unapoongeza uzito ndipo unapo punguza hesabu ya kufanya.
Mwalimu wa mazoezi akionyesha namna ya kuanza zoezi hilo
Mwalimu Swai akionyesha jinsi ya kumalizia zoezi la triceps
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment