Mara nyingi wanamazoezi wa kujenga misuli husahau kufanya mazoezi ya kujenga misuli ya miguu, hii ni tatizo haswa kwa wale ambao wanaanza zoezi hili la kujenga misuli.
Nikisema hivyo nina maana wao huanza kujenga sehemu ya mikono na kifua ikiwa sehemu hiyo inaonekana aidha kwa kuvaa tisheti lakini hii ikiwa ni staili ya vijana.
Kumbuka mazoezi ya miguu ni uhimu sana kwa wale wanaofanya mazoezi ya kujenga misuli ili uonekane nadhifu zaidi
Hapa katika picha inaonyesha kijana Jonathan
akianza zoezi la kujenga miguu kwenye gym ya
Chuo Kikuu cha Mlimani UDSM.
Hapa Jonathan akimaliza zoezi hilo kwa hesabu
ya 10x4 na kuongeza uzito kila seti.
No comments:
Post a Comment