Tuesday, July 27, 2010
UNATAKIWA KUFANYA MAZOEZI KWA AFYA YA MWILI WAKO MARA NGAPI KWA WIKI.
Kama kawada mwili wa binadamu huwa anatakiwa kufanya mazoezi iwe sio chini ya mara tatu au tano kwa wiki. Nikiwa na maana kwamba kila siku unakula chakula na chakula chenyewe huwa na virutubisho ambavyo kwa namna moja au nyingine, huweza kuzidi katika mwili. Sasa namna ya kupunguza virutubisho hivyo ni kufanya mazoezi japo mara tatu kwa wiki au tano. Kwa kufanya mazoezi hukuepusha kupata maradhi mara kwa mara na hukufanya uonekane wa afya na kijana kila siku ya maisha yako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment