Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Monday, July 12, 2010

MWALIMU FREDY WA GYM YA PLAYERS NJIRU ARUSHA

ARUSHA KAMA INAVYOFAHAMIKA KATIKA MASUALA YA UTALII NI SEHEMU YAKE PIA HAWAPO HAWAPO NYUMA KWA MASUUALA YA MAZOEZI YA VIUNGO.

GYM YA PLAYERS IMESHEHENA MICHEZO MBALIMBALI IKIWEMO NA DARASA LA AEROBICS, GYM, BWAWA LA KUOGELEA, TENNIS NA MICHEZO MINGINE MINGI.

NILIPO HOJIANA NA MWALIMU FREDY ILIKUWA NI SIKU YA BARIDI HASWA LAKINI YEYE ALIKUWA AKIFANYA MAZOEZI YAKE YA KUJENGA MISULI.
KIJANA FREDY AMESHAFUNDISHA WATU WENGI NA KUFANIKISHA MALENGO YAO
MATARAJIO YAKE NI KUJIENDELEZA KATIKA FINI HII.


KATIKA PICHA YA PAMOJA NA FREDY AKIFANYA MAZOEZI KWENYE GYM YA PLAYERS ILIYOPO NJIRU ARUSHA.




No comments: