Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Wednesday, July 7, 2010

MAZOEZI YA KUKIMBIA PIA HUSAIDIA NINI

SASA HIVI IMEKUWA NI TABIA YA KILA MTU AFIKAPO GYM HUANZA KWA KUKIMBIA KWENYE MASHINE YA KUKIMBILIA(TREADMILL).

HII HUSAIDIA KANZA KUUPA JOTO MWILI WAKO KWA KIPINDI KIFUPI NA PIA HUKUSAIDIA KUPELEKA MAPIGO YA MOYO YAWE SAMBAMBA NA ZOEZI UNALOTAKA FANYA.
HATA VILEVILLE HUKUSAIDIA KUPELEKA DAMU KWENYE MOYO KWA HARAKA SANA NA KURUDISHA MWILINI.

HUSAIDIA PIA KUKUFANYA UWE UNAFUNGUKA MATUNDU MADOGO YA MWAILI KWA WEPESI KWA KUTOKA JASHO

KWA WALE WENYE MASWALI ZAIDI KUHUSU AFYA YA MAZOEZI USISITE KUULIZIA KWENYE BLOG HII NA UTAJIBIWA NA KUELIMISHWA.
KATIKA PICHA INAONYESHA WADAU WA MAZIEZI WAKIKIMBIA KWENYE MASHINE(TREADMIL MACHINE)

No comments: