Tuesday, July 27, 2010
UNATAKIWA KUFANYA MAZOEZI KWA AFYA YA MWILI WAKO MARA NGAPI KWA WIKI.
Kama kawada mwili wa binadamu huwa anatakiwa kufanya mazoezi iwe sio chini ya mara tatu au tano kwa wiki. Nikiwa na maana kwamba kila siku unakula chakula na chakula chenyewe huwa na virutubisho ambavyo kwa namna moja au nyingine, huweza kuzidi katika mwili. Sasa namna ya kupunguza virutubisho hivyo ni kufanya mazoezi japo mara tatu kwa wiki au tano. Kwa kufanya mazoezi hukuepusha kupata maradhi mara kwa mara na hukufanya uonekane wa afya na kijana kila siku ya maisha yako.
Tuesday, July 20, 2010
KELKEN FITNESS CENTRE KATIKA BONANZA LA BEACH YA BAGAMOYO
Monday, July 12, 2010
MWALIMU FREDY WA GYM YA PLAYERS NJIRU ARUSHA
ARUSHA KAMA INAVYOFAHAMIKA KATIKA MASUALA YA UTALII NI SEHEMU YAKE PIA HAWAPO HAWAPO NYUMA KWA MASUUALA YA MAZOEZI YA VIUNGO.
GYM YA PLAYERS IMESHEHENA MICHEZO MBALIMBALI IKIWEMO NA DARASA LA AEROBICS, GYM, BWAWA LA KUOGELEA, TENNIS NA MICHEZO MINGINE MINGI.
NILIPO HOJIANA NA MWALIMU FREDY ILIKUWA NI SIKU YA BARIDI HASWA LAKINI YEYE ALIKUWA AKIFANYA MAZOEZI YAKE YA KUJENGA MISULI.
KIJANA FREDY AMESHAFUNDISHA WATU WENGI NA KUFANIKISHA MALENGO YAO
MATARAJIO YAKE NI KUJIENDELEZA KATIKA FINI HII.
KATIKA PICHA YA PAMOJA NA FREDY AKIFANYA MAZOEZI KWENYE GYM YA PLAYERS ILIYOPO NJIRU ARUSHA.

Wednesday, July 7, 2010
MWALIMU SAIDI AKIWA KWENYE DARASA LA HIGH IMPACT AEROBICS GYM YA GYMKHANA MOSHI
MWALIMU SAIDI NI MWALIMU MWENYE BIDII YA KUFUNDISHA MAZOEZI KILA SIKU YA MUNGU YEYE HUPENDA KUFANYA MAZOEZI NA NI MMOJA WAPO WA MWANZILISHI WA GYM YA AEROBICS ILIYOPO GYMKHANA MOSHI.
KWA KWELI SASA HIVI WATU WA MOSHI WAMEZINDUKA NA KUAMUA KUFANYA MAZOEZI KILA SIKU.
KWENYE PICHA HAPO MWALIMU SAIDI AKIWA KATIKA DARASA LA AEROBICS NA WADAU WAKE.
KWA KWELI SASA HIVI WATU WA MOSHI WAMEZINDUKA NA KUAMUA KUFANYA MAZOEZI KILA SIKU.
KWENYE PICHA HAPO MWALIMU SAIDI AKIWA KATIKA DARASA LA AEROBICS NA WADAU WAKE.
MAZOEZI YA KUKIMBIA PIA HUSAIDIA NINI
SASA HIVI IMEKUWA NI TABIA YA KILA MTU AFIKAPO GYM HUANZA KWA KUKIMBIA KWENYE MASHINE YA KUKIMBILIA(TREADMILL).
HII HUSAIDIA KANZA KUUPA JOTO MWILI WAKO KWA KIPINDI KIFUPI NA PIA HUKUSAIDIA KUPELEKA MAPIGO YA MOYO YAWE SAMBAMBA NA ZOEZI UNALOTAKA FANYA.
HII HUSAIDIA KANZA KUUPA JOTO MWILI WAKO KWA KIPINDI KIFUPI NA PIA HUKUSAIDIA KUPELEKA MAPIGO YA MOYO YAWE SAMBAMBA NA ZOEZI UNALOTAKA FANYA.
HATA VILEVILLE HUKUSAIDIA KUPELEKA DAMU KWENYE MOYO KWA HARAKA SANA NA KURUDISHA MWILINI.
HUSAIDIA PIA KUKUFANYA UWE UNAFUNGUKA MATUNDU MADOGO YA MWAILI KWA WEPESI KWA KUTOKA JASHO
KWA WALE WENYE MASWALI ZAIDI KUHUSU AFYA YA MAZOEZI USISITE KUULIZIA KWENYE BLOG HII NA UTAJIBIWA NA KUELIMISHWA.

KATIKA PICHA INAONYESHA WADAU WA MAZIEZI WAKIKIMBIA KWENYE MASHINE(TREADMIL MACHINE)
Thursday, July 1, 2010
MWALIMU SALIMU WA MAZOEZI KATIKA GYM YA GENESSIS
MWALIMU SALIMU NI MWALIMU MAKINI SANA PINDI AWAPO KWENYE KAZI YAKE YA KUFUNDISHA KATIKA GYM YA GENESSIS ILIYOPO KIJITONYAMA MAJI MACHAFU.
NILIPOMUULIZA MWALIMU SAILIMU ANA MUDA GANI KATIKA GYM HIYO, ALINIAMBIA ANA TAKRIBANI MIAKA TISA TANGU AANZE KUFANYA KAZI HAPO NA ANAFURAHIA KAZI YAKE PAMOJA AKISHIRIKIANA NA WAALIMU WENZAKE.
KATIKA PICHA HAPO CHINI MWALIMU SALIMU AKIONYESHA MAZOEZI KWA MTEJA WA GENESSIS GYM

Subscribe to:
Posts (Atom)