Mazoezi haya hufanyika kila siku ya Jumatano katika bwawa hilo chini ya Mwalimu O.Swai.
Zoezi hilo ni kwa mtu yeyote hata kama hajui kuogelea humudu kulifanya bila ya matatizo.Hivyo wadau wengine kutoka popote pale mnakaribishwa.
Mwalimu wa mazoezi ya Aerobics O.Swai akiwa na
wadau wa Aerobics katika bwawa la UDSM.
(aliyevaa nguo nyekundu akifundisha aqua aerobics)
Wadau wa mazoezi wakifuatilia kwa mkini zoezi hilo.
Baada ya zoezi la kwenye maji sasa ni nje ya maji.
Wadau wakimalizia mazoezi ya kunyoosha viungo
baada ya zoezi husika.
No comments:
Post a Comment