Wednesday, May 9, 2012
SULEIMAN KIULA MWANA MAZOEZI WA WIKI
Katika picha mwisho kulia mwana mazoezi aliyevaa tisheti
nyekundu na bukta ya rangi nyeupe yenye mistari pembeni
ndiye Mwana Mazoezi wa wiki anaitwa Suleiman Kiula
ambaye anafanya kazi SUMAJKT na Meneja wa fedha.
Suleiman akionekana na wanamazoezi wenzake
katika darasa la Aerobics yuko mwisho kulia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment