Mazoezi ya aqua aerobics hayana tofauti kubwa na mazoezi ya aerobics ambayo unafanyia pasipo maji.
Tofauti ni kwamba aqua nimazoezi yenye usalama zaidi katika viungo kama ankal kuachia na kukufanya kujisikia huna msindilio wa viungo.
Mazoezi ya aqua aerobics huwa nimazuri na salama hapa wadau wakifuatilia kwa makini mwalimu swai akitoa maelekezo.
wadau wa mazoezi ya viungo wakianza kufuatiliana wakiwa wanafurahia
1 comment:
Huwa yanafanyikia wapi? lini? na mara ngapi? Taratibu za kujiunga je zikoje.
Naomba uni email hizo details tafadhali.
mcdyu@yahoo.com
HESHIMA KWAKO.
Post a Comment