Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Sunday, August 22, 2010

JINSI MWILI WAKO UNAVYO NENEPA

MARA NYINGI MWILI UNANENEPA KUTOKANA NA CHAKULA AMBACHO UNACHOKULA.

HII HUTOKANA NA KUZIDIWA KWA VIRUTUBISHO KWA WAKATI USOHITAJIKA.
KUMBUKA JINSI UNAVYOKULA SANA NA HASWA VYAKULA VILIVOZIDI MAFUTA NA WANGA NDIO HUSABABISHA KUWA NA UNENE ULOKITHIRI.

KUEPUKA MATATIZO HAYA AMBAYO MWISHO WAKE NI KUPATA MARADHI KAMA SHINIKIZO LA DAMU NA HAPO KISUKARI KIKIKUNYEMELEA MAANA MARADHI HAYA HUENDA PAMOJA .

KWA USHAURI JARIBU KUPUNGUZA VITU VYA WANGA NA MAFUTA NA KULA MBOGA MBOGA .A MATUNDA KWA WINGI.

PIA ZAIDI YAKUEPUKA HAYA YOTE UWE UNAFANYA MAZOEZI ILI VIRUTUBISHO AMBAVYO VILOZIDI VITUMIKE KWA WAKATI MUAFAKA.

No comments: