MAZOEZI YA KIFUA HAPA WADAU WA RED,S WAKIFANYA MAMBO YAO KAMA PICHA ZINAVYOONYESHA
Tuesday, August 24, 2010
Sunday, August 22, 2010
JINSI MWILI WAKO UNAVYO NENEPA
MARA NYINGI MWILI UNANENEPA KUTOKANA NA CHAKULA AMBACHO UNACHOKULA.
HII HUTOKANA NA KUZIDIWA KWA VIRUTUBISHO KWA WAKATI USOHITAJIKA.
KUMBUKA JINSI UNAVYOKULA SANA NA HASWA VYAKULA VILIVOZIDI MAFUTA NA WANGA NDIO HUSABABISHA KUWA NA UNENE ULOKITHIRI.
KUEPUKA MATATIZO HAYA AMBAYO MWISHO WAKE NI KUPATA MARADHI KAMA SHINIKIZO LA DAMU NA HAPO KISUKARI KIKIKUNYEMELEA MAANA MARADHI HAYA HUENDA PAMOJA .
KWA USHAURI JARIBU KUPUNGUZA VITU VYA WANGA NA MAFUTA NA KULA MBOGA MBOGA .A MATUNDA KWA WINGI.
PIA ZAIDI YAKUEPUKA HAYA YOTE UWE UNAFANYA MAZOEZI ILI VIRUTUBISHO AMBAVYO VILOZIDI VITUMIKE KWA WAKATI MUAFAKA.

Monday, August 16, 2010
DIETY YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KWA WALE WAUMINI WA KIISLAM
KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI GYM NYINGI HUWA ZIMEPWAYA WANACHAMA KUTOKANA NA FUNGA.
WANACHAMA AMBAO HUENDA KUFANYA MAZOEZI IWE KWA AJILI YA KUPUNGUZA UZITO AU KUJENGA MWILI MARA NYINGI HUPUMZIKA MAZOEZI. HII NI KUTOKANA NA UCHOVU ANAOUPATA KUTOKANA NA KUFUNGA, INABIDI AFANYE NINI ILI UZITO USIZIDI.
HASWA NIKIZUNGUMZIA KWA WALE KINA MAMA AMBAO MWEZI HUU HAWANA
MUDA WA KUFANYA MAZOEZI KUTOKANA NA MAJUKUMU YAO KUWAZIDI.
JAMBO LA MUHIMU NI KUJITAHIDI KULA CHAKULA AMBACHO HAKINA MAFUTA MENGI PIA AWE NA MUDA WA KUTEMBEA KWA MUDA WA DAKIKA 15 HIVI ITASAIDIA KUKUFANYA UWE MCHANGAMFU NA KUSAIDIA MSAGO WA CHAKULA.
AU KWA WALE AMBAO WANASWALI SALA YA TARAWEHE HUWA WANAFAIDIKA ZAIDI MAANA TARAWEHE NI KAMA ZOEZI AMBALO HUDUMU KWA MUDA WA DAKIKA45 MPAKA SAA MOJA KWA WALE WAUMINI WA DINI YA KIISLAM.
NA PIA KULA MATUNDA KWA WINGI WAKATI WA DAKU PAMOJA NA MBOGA ZA MAJANI.KWA WALE WANOPATA GESI WATUMIE JUICE YA MATANGO KAMA GLASI MOJA NDOGO.
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA*RAMADHAN KARIM*

MANGO GYM KINONDONI VIJANA HOSTEL
Mwalimu john akiwa kwenye class yake na wadau wa aerobics ambao wanafurahia mazoezi hayo na kumuelewa mwalimu wao.
Chini kuiwa na picha ya pamoja na master class swai baada ya zoezi
Tuesday, August 10, 2010
BIGGY RESPECT NA VIFAA VYA MAZOEZI NA NGUO
BIGGY RESPECT VAA UPENDEZE NI DUKA LA NGUO ZA MAZOEZI KAMA VILE VIATU VYA KUCHEZEA MPIRA JEZI NA NDULA ZA
UHAKIKA KAMA PICHA ZINZVYOONYESHA.
HATA FULANA ZENYE MANENO YA KISWAHILI NA HATA KIZUNGU PIA SURUALE AINA MBALI MBALI NA MASHATI BAAB KUBWA
NYOTE MMNAKARIBISHWA KARIAKOO KITUO CHA PETROLI BIG BORN.

Saturday, August 7, 2010
MAZOEZI YA KUJENGA MWILI KATIKA MANGO GYM
KATIKA PICHA HAPO CHINI NI DAKTARI OMARI AMBAYE YEYE YUKO HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI AKIFANYA MAZOEZI YA KUJENGA MISULI .
KWA KWELI TUMPONGEZE KWANI NI MARA CHACHE SANA KUKUTA WATU HAWA KUFANYA MAZOEZI LABDA KUTINGWA NA KAZI AU MARA NYINGI HUPENDA KUPOTEZEA MDA KWENYE BAR. MADAKTARI WAFUATE MOYO HUO.

Subscribe to:
Posts (Atom)