Katika ushirikiano wa taaluma ya michezo Netherland pia kuna waalimu wa mazoezi ya aerobics ambao wakishirikiana na mkufunzi wa Aerobics UDSM Pess Mkufunzi Swai akiwa na Anu kutoka Netherland wakishirikiana kutoa mafunzo ya nadharia ya Aerobics.
Waalimu wanafunzi wa Pess wakifuatilia kwa makini
namna ya kufundisha step kinadharia na mkufunzi Swai
Mkufunzi Anu kutoka Netherlan akiwaonyesha waalimu
wanafunzi wa Pess jinsi ya kufanya mazoezi ya H/L Aerobics.
Picha ya pamoja Wakufunzi na waalimu wanafunzi
wakati wa mazoezi ya nadharia
No comments:
Post a Comment