Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Tuesday, January 26, 2016

MAZOEZI YA KUPUNGUZA TUMBO KWA KUTUMIA AINA TOFAUTI ZA MASHINE



 Mara nyingi wakati wa mazoezi jaribu kubadili zoezi husika kwa matokeo chanya,hapa chini ni mazoezi ya tumbo kwa kutumia mashine.

Aina ya mazoezi haya ufanye mara mbili kwa wiki kupata matokeo mazuri


                                                Mazoezi  ya tumbo kwa kutumia mashine ya
kebo namna ya kuanza na kumaliza



                                           Picha hii ikionyesha namna ya kuanza na kumalizia
                                           zoezi lenyewe kwa kutumia mashine aina ya farasi.

























Thursday, January 21, 2016

MAMBO MUHUMU UNAYOPSWA KUYAJUA KABLA HUJAANZA MAZOEZI KWA MTU YEYOTE

Yapo mambo mengi ambayo unapaswa kujua kabla ya kuanza mzoezi, lakini leo nakujuzu baadhi ya mambo muhimu.

1.Hakikisha kama una tatizo la moyo au tatizo la afya yako ukamuone kwanza daktari kwa ushauri.

2.Kama huna tatizo la kiafya basi unaweza kuanza kufanya mazoezi kwa kuzingaztia unaanza kwa kupasha mwili joto(warm up) kwa ajili ya kuutayarisha mwili wako kwa zoezi lifuatalo.

3.Baada ya kumaliza mazoezi ni muhimu sana  kunyoosha misuli yako,(stretching)  hii husaidia kutoa aina ya lactic acid ambayo husaidia kuondoa maumivu kwenye misuli  na pia kunyambulika(kulainisha) kwa misuli yako na kuwa na ukubwa unaotakiwa.

4.Jaribu kuusikiliza mwili wako kama unakubaliana na zoezi ulolifanya kama kuna maumivu makali ambayo hayaishi pindi ufanyapo mazoezi acha na kufuata ushauri wa mwalimu wa mazoezi.