Thursday, January 8, 2015
MWAKA MPYA NA ARI MPYA YA WANAMAZOEZI
Mazoezi sio lazima uwe unacheza mpira wa miguu au kukimbia tu kuna aina nyingi za mazoezi ambayo ukiyafanya yatakusaidia na kukuweka na afya kila wakati.
Hii ikiwa ni pamoja na mazoezi utakayofanya ukiwa nyumbani au hata ukiwa maeneo ya gym yakiongozwa na mwalimu mwenye taaluma hii.
Ni muhimu kuwa na mwalimu mwenye taaluma hii kuwepo ili kuepuka maumivu yasiyoisha baada ya mazoezi.
Hapo katika picha ya juu ni zoezi la
tumbo inavyoanza na kumalizia.
Mazoezi ambayo husaidia kunyoosha viungo
baada ya mazoezi mazito ili kuondoa uchovu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment