Mara nyigi binadamu huwezi pungua mwili bila ya kufanya mazoezi ikiwa imeambatana na kupunguza mlo unaokula.
Aina ya vyakula ambavyo unatakiwa kula ni kujaribu kupata chakula ambacho hakina mafuta mengi,pia kupunguza ulaji wa sukari nyingi na hata chimvi ujaribu kupunguza katika maisha yako ya kila siku, hali kadhalika kupunguza vyakula vya wanga.
Jambo lingine ni kufanya mazoezi ya tumbo kila siku uamkapo asubuhi na jioni ili uondoe manyama uzembe.
Mazoezi ya tumbo namna ya unvyoanza ukiwa umekaa
kitako na kukunja miguuyako kama picha inavyoonyesha
Hapa ni namna ya kumalizia zoezi la tumbo kwa
kunyoosha na kukunja tena kama mwazo mara 50
No comments:
Post a Comment