Katika mazoezi ya aerobics yako kwa aina tofauti na kwa kila mchezo unaochezwa hapa duniani ikiwemo tae bo kick boxing na michezo mingine pia tukizingatia nyimbo mbali mbali za wanmuziki ulumwenguni kama vile house music, samba, rumba soukus na salsa.
Hayo yote viburudisho wakati wa mazoezi kwa watu wa mataifa yote kutegemea tempo ya mziki wenyewe.
Katika picha hapo wadau wa mazoezi ya viungo wakiwa na mwalimu swai akiwapa moyo na namna ya kufanya zoezi la kick boxing.
Instructor Omar Swai akiwa na mwana mazoezi Lucy wakati anamuonyesha namna ya kufanya mazoezi kwa ufasaha kick boxing aerobics.
No comments:
Post a Comment