Wednesday, May 11, 2011
WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA CLEMSON CHA AMERIKA WAKIFANYA MAZOEZI YA AEROBICS KATIKA GYM YA UDSM.
Mwalimu Swai akitoa mazoezi ya chini akiwa na wanfunzi wa Chuo Kikuu cha Clemson cha Amerika.
Wanfunzi hao wamekuja kutembelea Chuo kikuu cha Mlimani Dar es salaam katika kitengo cha michezo PESS. kama picha zinavyoonyesha.
katika picha ya pamoja na mwalimu swai
Tuesday, May 10, 2011
WADAU WA AEROBICS WAKIFANYA MAZOEZI KICK BOXING UDSM
Katika mazoezi ya aerobics yako kwa aina tofauti na kwa kila mchezo unaochezwa hapa duniani ikiwemo tae bo kick boxing na michezo mingine pia tukizingatia nyimbo mbali mbali za wanmuziki ulumwenguni kama vile house music, samba, rumba soukus na salsa.
Hayo yote viburudisho wakati wa mazoezi kwa watu wa mataifa yote kutegemea tempo ya mziki wenyewe.
Katika picha hapo wadau wa mazoezi ya viungo wakiwa na mwalimu swai akiwapa moyo na namna ya kufanya zoezi la kick boxing.
Instructor Omar Swai akiwa na mwana mazoezi Lucy wakati anamuonyesha namna ya kufanya mazoezi kwa ufasaha kick boxing aerobics.

Thursday, May 5, 2011
WADAU WA MAZOEZI YA VIUNGO WA UDSM WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA KUJITAYARISHA KWA MASHINDANO YA MIAKA 50 YA UDSM KATIKA KUJENGA MISULI.
Subscribe to:
Posts (Atom)