Katika hali ya kawaida ya mwanadamu ni wajibu kuenda haja kubwa kila siku iwe mara mbili au mara tatu kwa siku. Lakini kwa wengine huwa wanachukua kuanzia siku mbili hadi wiki bila ya kwenda haja kubwa na hapo anakula kama kawaida, kwa kweli hii si afya nzuru bali ni matatizo tu.
Ni kitu gani cha kufanya ili kuepuka haya matatizo?
Kwaza kabisa anywe maji ya kutosha japo lita2 au tatu kwa siku,hiyo ikiambatana na mazoezi ya viungo.
Nikisma mazoezi ni kama vile aerobics hukusaidia kutoa jasho la kutosha na kusikia kunywa maji mara kwa mara.
Ushauri wangu kwa wale wenye matatizo hayo wajaribu kujiunga na mazoezi wataona matokeo mara tu waanzapo mazoezi endelevu ya aerobics.
No comments:
Post a Comment