Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Thursday, April 21, 2011

MAZOEZI YA VIUNGO NA FAIDA ZAKE KWA WALE WENYE MATATIZO YA KUTOENDA HAJA KUBWA KILA SIKU

Katika hali ya kawaida ya mwanadamu ni wajibu kuenda haja kubwa kila siku iwe mara mbili au mara tatu kwa siku. Lakini kwa wengine huwa wanachukua kuanzia siku mbili hadi wiki bila ya kwenda haja kubwa na hapo anakula kama kawaida, kwa kweli hii si afya nzuru bali ni matatizo tu.

Ni kitu gani cha kufanya ili kuepuka haya matatizo?

Kwaza kabisa anywe maji ya kutosha japo lita2 au tatu kwa siku,hiyo ikiambatana na mazoezi ya viungo.

Nikisma mazoezi ni kama vile aerobics hukusaidia kutoa jasho la kutosha na kusikia kunywa maji mara kwa mara.

Ushauri wangu kwa wale wenye matatizo hayo wajaribu kujiunga na mazoezi wataona matokeo mara tu waanzapo mazoezi endelevu ya aerobics.

Monday, April 4, 2011

KUTANA NA MR. ALY MAJID MDAU WA SIKU NYINGI KATIKA MAZOEZI

Mara nyingi watu hufikiria kufanya mazoezi ni lazima ukonde hapana hizo ni fikira potefu.
Mazoezi ni kwa ajili ya kujikinga na maradhi ya mara kwa mara na kujisikia mchangamfu siku zote.
Hayo yalikuwa ni maoni ya mzee Ally ambaye yeye hapitwi na mazoezi ya mwili.





Katika picha mzee Ally akiwa katika moja ya mashine akifanya mazoezi yake