Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Wednesday, March 23, 2011

MAZOEZI HAYACHAGUI UMRI HATA KAMA NI MZEE MAZOEZI NI MUHIMU

Watu wengi wakifikia umri mkubwa kuanzia miaka 75 na kuendelea katika jamii ya kiafrika huwa wanasema muda wao wa kufanya mazoezi umekwisha.
Hiyo sio kweli kabisa jinsi umri unavyokwenda ndio unatakiwa kufanya mazoezi kwa ajili ya afya yako.



MZEE ALHAJ JUMA AKIWA KATIKA MAZOEZI NI MZEE MWENYE UMRI WA MIAKA ISIYOPUNGUA 78 NA ANASEMA ANAPENDA MZOEZI.ANAWASIHI WAZEE WENZAKE WA KIGOMA KUFANYA MAZOEZI NA KUISHI KWA RAHA.




No comments: