Watu wengi wakifikia umri mkubwa kuanzia miaka 75 na kuendelea katika jamii ya kiafrika huwa wanasema muda wao wa kufanya mazoezi umekwisha.
Hiyo sio kweli kabisa jinsi umri unavyokwenda ndio unatakiwa kufanya mazoezi kwa ajili ya afya yako.
MZEE ALHAJ JUMA AKIWA KATIKA MAZOEZI NI MZEE MWENYE UMRI WA MIAKA ISIYOPUNGUA 78 NA ANASEMA ANAPENDA MZOEZI.ANAWASIHI WAZEE WENZAKE WA KIGOMA KUFANYA MAZOEZI NA KUISHI KWA RAHA.
Wednesday, March 23, 2011
Thursday, March 17, 2011
CHUO KIKUU HURIA(OPEN UNIVERSITY) DAR ES SALAAM YA FANIKISHA BONANZA LA NGUVU KWENYE VIWANJA VYA MICHEZO HUKO KIBAHA SIKU YA JUMAMOSI.
Katika picha inaonyesha washiriki wa michezo wakifanya mazoezi ya Aerobics yakiongozwa na mwalimu Omar Swai kutoka udsm.
Mkuu wa chuo hicho akiwa na wakuu wengine na wafanyakazi pamoja na wanafunzi walishiriki mazoezi ya aerobics yaliyofana sana siku hiyo ya Bonanza
Katika picha mwalimu Swai akiwa na mkuu wa chuo cha Open University VC Tolly wabadilishana mawazo na kupongezana huku washiriki wakipata vinywaji baridi kwa kweli Bonanza hiyo ilifana sana
BAADA YA MAZOEZI YA KUTWA YALIYOKUWA YAKIFANYIKA ILIFANYIKA STRECHING NA MWALIMU SWAI TOKA CHUO KIKUU MLIMANI DSM
Wana michezo wakifanya mazoezi ya stretching wakiwemo wafanyaka kazi wote na wanafunzi walishiriki pia
Hapa ilikuwa pata shika katika kukimbiza kuku zozi hilo likisimamiwa na mwalimu Kihunzi toka udsm.
Mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa chuo kikuu huria VC. Tolly Bwette.akikabithi zawadi na vyeti mmoja wa washiriki kwenye viwannja vya michezo vya chuo huria huko Kibaha siku ya jumamosi na wanamichezo waalikwa kutoka Kenya pia walihudhuria
Monday, March 7, 2011
BONANZA LA AEROBICS LA GYM YA GENESIS LAFANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS
Waalimu wa aerobics waalikwa katika bonanza lililofana katika viwanja vya Leades wakiwa katika picha ya pamoja.
Ilikuwa ni mazoezi yanayochukua kama saa tatu hivi bila ya kupumzika na kila aliyealikwa kutoka gym tofauti za hapa Dar alifanya kwa kufuatilia umahiri na uongozi wa mazoezi wa waalimu wa aerobics ni furaha tu burdani ya mazoezi.
Subscribe to:
Posts (Atom)