Aquar Aerobics vilevile ilikuwepo ili mradi kupata burudani isiyo kifani pamoja na familia katika hoteli ya South beach iliyopo Kigamboni. AQUA AEROBICS
Pamoja na michezo mingine hapa ni volleyball
Ni muhimu kuchanganya mazoezi ili usichukie mazoezi na kukutana na familia.
No comments:
Post a Comment