Mara nyingi katika maisha ya binaadamu yeyote anatakiwa kufanya mazoezi japo mara tatu kwa wiki. Hii ikiwa ni hali ya kawaida kabisa kwaajili ya kuondoa mafuta yalozidi mwilini mwako na pia hukusaidia kujenga kuta za misuli ya moyo wako kwa kutembea haraka au kukimbia pia hukusaidia kutumika sukari ya mwili wako kuepukana na maradhi yatokanayo kutofanya mazoezi.
Ni muhimu sana kufanya mazoezi katika maisha yako kuepukana na maradhi mbalimbali.