Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Thursday, April 21, 2016

FAIDA ZA KUNYWA MAJI KATIKA MAISHA YAKO YA KAWAIDA KILA SIKU



                                                OK BODY SHAPE








HIZI HAPA NI FAIDA UNAZOPATA  UKINYWA MAJI KILA SIKU

-Kunywa maji  glasi 2 asubuhi  inasaidia kuamsha seli hai za mwili.

-Kunywa glasi 1 ya maji kabla hujala chakula husaidia msago wa chakula kwa wepesi zaidi.(digestion)

-Ukinywa glasi moja ya maji kabla ya kwenda kuoga inasidia kujikinga na shindikizo la  damu(high blood pressure) 

-Ukinywa maji glasi 1 kabla hujaenda kulala husaidia kujikinga na kupooza mwili (strokes heart attacks)

EPUKA MATATIZO  KWA KUNYWA MAJI UTAKUWA SALAMA.