Powered By Blogger

Kuna umuhimu wa kufanya mazoezi?

Thursday, February 25, 2016

MWALIMU DULLA KASHAIJA WA MAZOEZI YA AEROBICS AMEFUNGUA GYM ILALA.


 Malimu Dulla K. wa mazoezi ya Aerobics akiwa na wanamazoezi wake katika  gym yake Ilala.

                                    Mwalimu Kashaija akiwa na class yake ya step
                                      akiwa mbele ya darasa.


                                        Wanamazoezi na wapenzi wa Aerobics wakifanya tizi


                                    Wana mazoezi  ya aerobics waliobobea katika mazoezi hayo